Jeremiah 17:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Abarikiwe mtu anayemtegemea Mwenyezi-Mungu, mtu ambaye Mwenyezi-Mungu ndiye tegemeo lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini amebarikiwa mtu anayemtumaini Mwenyezi Mungu, ambaye matumaini yake ni katika Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea Bwana, Ambaye Bwana ni tumaini lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Abarikiwe mtu anayemtegemea Mwenyezi-Mungu, mtu ambaye Mwenyezi-Mungu ndiye tegemeo lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini amebarikiwa mtu ambaye tumaini lake ni katika BWANA, ambaye matumaini yake ni katika BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini amebarikiwa mtu ambaye tumaini lake ni katika bwana, ambaye matumaini yake ni katika bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA, Ambaye BWANA ni tumaini lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Abarikiwe mtu anayemtegemea Mwenyezi-Mungu, mtu ambaye Mwenyezi-Mungu ndiye tegemeo lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amebarikiwa kila mtu amwegemeaye Bwana, Bwana akiwa egemeo lake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA, Ambaye BWANA ni tumaini lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abarikiwe mutu anayenitegemea mimi Yawe, mutu ambaye mimi Yawe ndiye tegemeo lake.