Jeremiah 18:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kisha taifa hilo likafanya uovu mbele yangu na kukataa kunitii, basi, mimi nitaacha kulitendea mema hayo niliyokusudia kulitendea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ikiwa litafanya uovu mbele zangu na halitaitii sauti yangu, nitaghairi kutenda jema nililokuwa nimekusudia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ikiwa watatenda maovu mbele za macho yangu, wasiitii sauti yangu, basi nitaghairi, nisitende mema yale niliyoazimia kuwatendea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kisha taifa hilo likafanya uovu mbele yangu na kukataa kunitii, basi, mimi nitaacha kulitendea mema hayo niliyokusudia kulitendea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ikiwa utafanya maovu mbele zangu na hukunitii, ndipo nitakapoghairi makusudio yangu mema niliyokuwa nimeyakusudia kwa ajili yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ikiwa utafanya maovu mbele zangu na hukunitii, ndipo nitakapoghairi makusudio yangu mema niliyokuwa nimeyakusudia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ikiwa watatenda maovu mbele za macho yangu, wasiitii sauti yangu, basi nitaghairi, nisitende mema yale niliyoazimia kuwatendea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kisha taifa hilo likafanya uovu mbele yangu na kukataa kunitii, basi, mimi nitaacha kulitendea mema hayo niliyokusudia kulitendea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wakifanya yaliyo mabaya machoni pangu, wasiisikie sauti yangu, basi, nitageuza moyo, nisiwafanyizie hayo mema, niliyoyasema, niwafanyizie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ikiwa watatenda maovu mbele za macho yangu, wasiitii sauti yangu, basi nitaghairi, nisitende mema yale niliyoazimia kuwatendea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini taifa hilo likifanya uovu mbele yangu na kukataa kunitii, basi, mimi nitaacha kulitendea mema hayo niliyokusudia.