Jeremiah 18:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Yaulize mataifa yote: Nani amewahi kusikia jambo kama hili. Israeli amefanya jambo la kuchukiza mno.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: “Ulizia miongoni mwa mataifa: Ni nani alishasikia jambo kama hili? Jambo la kutisha sana limefanywa na Bikira Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, kwa ajili ya hayo, Bwana asema hivi, Ulizeni sasa katika mataifa, ni nani aliyesikia habari za mambo kama hayo; bikira wa Israeli ametenda tendo lichukizalo sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Yaulize mataifa yote: nani amewahi kusikia jambo kama hili. Israeli amefanya jambo la kuchukiza mno.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo hili ndilo asemalo BWANA: “Ulizia miongoni mwa mataifa: Ni nani alishasikia jambo kama hili? Jambo la kutisha sana limefanywa na Bikira Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo hili ndilo asemalo bwana: “Ulizia miongoni mwa mataifa: Ni nani alishasikia jambo kama hili? Jambo la kutisha sana limefanywa na Bikira Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, kwa ajili ya hayo, BWANA asema hivi, Ulizeni sasa katika mataifa, ni nani aliyesikia habari za mambo kama hayo; bikira wa Israeli ametenda tendo lichukizalo sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Yaulize mataifa yote: Nani amewahi kusikia jambo kama hili. Israeli amefanya jambo la kuchukiza mno.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Bwana anasema hivyo: Ulizeni kwa wamizimu, kama yuko aliyesikia mambo kama hayo! Wanawali wa Isiraeli wamefanya mambo yazizimuayo kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, kwa ajili ya hayo, BWANA asema hivi, Ulizeni sasa katika mataifa, ni nani aliyesikia habari za mambo kama hayo; bikira wa Israeli ametenda tendo lichukizalo sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yawe anasema hivi: Muulize habari kwa mataifa yote: Nani amekwisha kusikia jambo kama hili? Kitendo Waisraeli walichokifanya ni cha kuchukiza sana.