Jeremiah 18:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, majabali ya Lebanoni hukosa theluji? Je, vijito vya maji vya milima yake hukauka?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, barafu ya Lebanoni iliwahi kutoweka kwenye miteremko yake ya mawe wakati wowote? Je, maji yake baridi kutoka vyanzo vilivyo mbali yaliwahi kukoma kutiririka?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Theluji ya Lebanoni itakoma katika jabali la kondeni? Au je! Maji ya baridi yashukayo toka mbali yatakauka?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, majabali ya Lebanoni hukosa theluji? Je, vijito vya maji vya milima yake hukauka?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, barafu ya Lebanoni iliwahi kutoweka kwenye mitelemko yake ya mawe wakati wo wote? Je, maji yake baridi yatokayo katika vyanzo vilivyo mbali yaliwahi kukoma kutiririka wakati wo wote?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, barafu ya Lebanoni iliwahi kutoweka kwenye miteremko yake ya mawe wakati wowote? Je, maji yake baridi yatokayo katika vyanzo vilivyo mbali yaliwahi kukoma kutiririka wakati wowote?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Theluji ya Lebanoni itakoma katika jabali la kondeni? Au je! Maji ya baridi yashukayo toka mbali yatakauka?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, majabali ya Lebanoni hukosa theluji? Je, vijito vya maji vya milima yake hukauka?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Theluji ya Libanoni inaondoka katika ile miamba iliyoko kileleni juu ya kondeni? Je? Yanakauka maji yenye baridi ya vijito vitokavyo mbali?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Theluji ya Lebanoni itakoma katika jabali la kondeni? Au je! Maji ya baridi yashukayo toka mbali yatakauka?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Teluji ya Lebanoni inatoweka kwenye mawe ya milima ile? Maji ya milima inayoshuka toka kule yanakauka?