Jeremiah 18:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawatawanya mbele ya adui, kama upepo utokao mashariki. Nitawapa kisogo badala ya kuwaonesha uso wangu siku hiyo ya kupata maafa yao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama upepo unaotoka mashariki, nitawatawanya mbele ya adui zao; nitawapa kisogo wala sio uso, katika siku ya maafa yao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitawatawanya mbele ya adui, kama kwa upepo wa mashariki; nami nitaviangalia visogo vyao, wala si nyuso zao, siku ya msiba wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawatawanya mbele ya adui, kama upepo utokao mashariki. Nitawapa kisogo badala ya kuwaonesha uso wangu siku hiyo ya kupata maafa yao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama upepo utokao mashariki, nitawatawanya mbele ya adui zao; nitawapa kisogo wala sio uso, katika siku ya maafa yao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama upepo utokao mashariki, nitawatawanya mbele ya adui zao; nitawapa kisogo wala sio uso, katika siku ya maafa yao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitawatawanya mbele ya adui, kama kwa upepo wa mashariki; nami nitaviangalia visogo vyao, wala si nyuso zao, siku ya msiba wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawatawanya mbele ya adui, kama upepo utokao mashariki. Nitawapa kisogo badala ya kuwaonesha uso wangu siku hiyo ya kupata maafa yao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama upepo utokao maawioni kwa jua unavyofanya, nitawatawanya machoni pa adui; ndio mgongo, sio uso, nitakaowaonyesha siku ya kuangamia kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitawatawanya mbele ya adui, kama kwa upepo wa mashariki; nami nitaviangalia visogo vyao, wala si nyuso zao, siku ya msiba wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawasambaza mbele ya waadui zao, kama upepo mukali toka mashariki. Nitawageuzia mugongo pahali pa kuwaelekezea uso siku hiyo watakapopatwa na hasara yao.