Jeremiah 18:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, mimi nikasali: Nitegee sikio ee Mwenyezi-Mungu, usikilize ombi langu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nisikilize, Ee Mwenyezi Mungu, sikia wanayosema washtaki wangu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Niangalie, Ee Bwana, ukasikilize sauti ya wanaoshindana nami.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, mimi nikasali: Nitegee sikio ee Mwenyezi-Mungu, usikilize ombi langu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nisikilize, Ee BWANA, sikia wanayosema washitaki wangu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nisikilize, Ee bwana, sikia wanayosema washtaki wangu!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Niangalie, Ee BWANA, ukasikilize sauti ya wanaoshindana nami.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, mimi nikasali: Nitegee sikio ee Mwenyezi-Mungu, usikilize ombi langu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, nisikilize! Isikie sauti ya wapingani wangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Niangalie, Ee BWANA, ukasikilize sauti ya wanaoshindana nami.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mimi nikaomba nikisema: Unitegee sikio ee Yawe, usikilize ombi langu.