Jeremiah 18:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Yeremia, inuka uende nyumbani kwa mfinyanzi, na huko nitakupa maneno yangu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Shuka uende hadi nyumba ya mfinyanzi, nami huko nitakupa ujumbe wangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ondoka, ukashuke mpaka nyumba ya mfinyanzi, na huko nitakusikizisha maneno yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Yeremia, inuka uende nyumbani kwa mfinyanzi, na huko nitakupa maneno yangu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Shuka uende mpaka kwenye nyumba ya mfinyanzi, nami huko nitakupa ujumbe wangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Shuka uende mpaka nyumba ya mfinyanzi, nami huko nitakupa ujumbe wangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ondoka, ukashuke mpaka nyumba ya mfinyanzi, na huko nitakusikizisha maneno yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Yeremia, inuka uende nyumbani kwa mfinyanzi, na huko nitakupa maneno yangu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Inuka, ushuke kwenda nyumbani mwa mfinyanzi. Ndimo, nitakamokuambia maneno yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ondoka, ukashuke mpaka nyumba ya mfinyanzi, na huko nitakusikizisha maneno yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeremia, simama uende kwa nyumba ya mufinyanzi, na huko nitakuambia maneno yangu.