Jeremiah 18:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, mtu hulipwa mabaya kwa mema? Walakini, wamenichimbia shimo. Kumbuka nilivyosimama mbele yako, nikasema mema kwa ajili yao, ili kuiepusha hasira yako mbali nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, mema yalipwe kwa mabaya? Lakini wao wamenichimbia shimo. Kumbuka kwamba nilisimama mbele yako na kunena mema kwa ajili yao, ili wewe ugeuze hasira yako kali mbali nao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mabaya yalipwe badala ya mema? Maana wameichimbia nafsi yangu shimo. Kumbuka jinsi nilivyosimama mbele zako, ili niseme mema kwa ajili yao, nikaigeuze ghadhabu yako isiwapate.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, mtu hulipwa mabaya kwa mema? Walakini, wamenichimbia shimo. Kumbuka nilivyosimama mbele yako, nikasema mema kwa ajili yao, ili kuiepusha hasira yako mbali nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, mema yalipwe kwa mabaya? Lakini wao wamenichimbia shimo. Kumbuka kwamba nilisimama mbele yako na kunena mema kwa ajili yao ili wewe ugeuze hasira yako kali mbali nao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, mema yalipwe kwa mabaya? Lakini wao wamenichimbia shimo. Kumbuka kwamba nilisimama mbele yako na kunena mema kwa ajili yao, ili wewe ugeuze hasira yako kali mbali nao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mabaya yalipwe badala ya mema? Maana wameichimbia nafsi yangu shimo. Kumbuka jinsi nilivyosimama mbele zako, ili niseme mema kwa ajili yao, nikaigeuze ghadhabu yako isiwapate.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, mtu hulipwa mabaya kwa mema? Walakini, wamenichimbia shimo. Kumbuka nilivyosimama mbele yako, nikasema mema kwa ajili yao, ili kuiepusha hasira yako mbali nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Mema yanalipwa na kufanyiziwa mabaya? Wamenichimbia mwina; kumbuka, jinsi nilivyosimama mbele yako na kuwasemea mema, niyatulize makali yako yenye moto, yasiwatokee!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mabaya yalipwe badala ya mema? Maana wameichimbia nafsi yangu shimo. Kumbuka jinsi nilivyosimama mbele zako, ili niseme mema kwa ajili yao, nikaigeuze ghadhabu yako isiwapate.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu analipwa mabaya kwa mema? Lakini, wamenichimbia shimo. Kumbuka jinsi nilivyosimama mbele yako, nikasema mema kwa ajili yao, kusudi niepushe hasira yako mbali nao.