Jeremiah 18:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo waache watoto wao wafe njaa, waache wafe vitani kwa upanga. Wake zao wawe tasa na wajane. Waume zao wafe kwa maradhi mabaya na vijana wao wachinjwe kwa upanga vitani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo uwaache watoto wao waone njaa; uwaache wauawe kwa makali ya upanga. Wake zao wasiwe na watoto, na wawe wajane; wanaume wao wauawe, nao vijana wao wa kiume wachinjwe kwa upanga vitani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu hiyo, uwatoe watoto wao waone njaa, uwatoe nguvu za upanga ziwapate; wake zao wafiwe na watoto wao, na kufiwa na waume zao; wanaume wao wauawe, na vijana wao wapigwe kwa upanga vitani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo waache watoto wao wafe njaa, waache wafe vitani kwa upanga. Wake zao wawe tasa na wajane. Waume zao wafe kwa maradhi mabaya na vijana wao wachinjwe kwa upanga vitani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo uwaache watoto wao waone njaa; uwaache wauawe kwa makali ya upanga. Wake zao na wasiwe na watoto, na wawe wajane; waume wao na wauawe, nao vijana wao waume wachinjwe kwa upanga vitani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo uwaache watoto wao waone njaa; uwaache wauawe kwa makali ya upanga. Wake zao wasiwe na watoto, na wawe wajane; waume wao wauawe, nao vijana wao waume wachinjwe kwa upanga vitani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu hiyo, uwatoe watoto wao waone njaa, uwatoe nguvu za upanga ziwapate; wake zao wafiwe na watoto wao, na kufiwa na waume zao; wanaume wao wauawe, na vijana wao wapigwe kwa upanga vitani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo waache watoto wao wafe njaa, waache wafe vitani kwa upanga. Wake zao wawe tasa na wajane. Waume zao wafe kwa maradhi mabaya na vijana wao wachinjwe kwa upanga vitani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo watoe wana wao, wauawe na njaa, kawabwage kwenye panga, wanawake wao wawe pasipo watoto na pasipo waume! Waume wao na wauawe na kifo, vijana wao na wapigwe na panga za vitani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu hiyo, uwatoe watoto wao waone njaa, uwatoe nguvu za upanga ziwapate; wake zao wafiwe na watoto wao, na kufiwa na waume zao; wanaume wao wauawe, na vijana wao wapigwe kwa upanga vitani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo uwaache watoto wao wakufe kwa njaa, uwaache wakufe kwa vita. Wake zao wakuwe tasa na wajane. Waume zao wakufe kwa magonjwa makali na vijana wao wachinjwe kwa upanga katika vita.