Jeremiah 18:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kilio na kisikike majumbani mwao, unapowaletea kundi la wanyanganyi ghafla. Maana wamechimba shimo waninase; wameitegea mitego miguu yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kilio na kisikike kutoka nyumba zao ghafula uwaletapo adui dhidi yao, kwa kuwa wamechimba shimo ili kunikamata na wameitegea miguu yangu mitego.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kilio na kisikiwe kitokacho katika nyumba zao, hapo utakapoleta kikosi juu yao kwa ghafula; kwa maana wamenichimbia shimo waninase, nao wameifichia miguu yangu mitego.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kilio na kisikike majumbani mwao, unapowaletea kundi la wanyang'anyi ghafla. Maana wamechimba shimo waninase; wameitegea mitego miguu yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kilio na kisikike kutoka kwenye nyumba zao ghafula uwaletapo adui dhidi yao, kwa kuwa wamechimba shimo ili kunikamata na wameitegea miguu yangu mitego.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kilio na kisikike kutoka kwenye nyumba zao ghafula uwaletapo adui dhidi yao, kwa kuwa wamechimba shimo ili kunikamata na wameitegea miguu yangu mitego.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kilio na kisikiwe kitokacho katika nyumba zao, hapo utakapoleta kikosi juu yao kwa ghafla; kwa maana wamenichimbia shimo waninase, nao wameifichia miguu yangu mitego.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kilio na kisikike majumbani mwao, unapowaletea kundi la wanyanganyi ghafla. Maana wamechimba shimo waninase; wameitegea mitego miguu yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyumbani na msikilike vilio, ukiwastusha kwa kuwaletea vikosi vya wapiga vita! Kwani wamenichimbia mwina, wanikamate, miguu yangu wakaitegea matanzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kilio na kisikiwe kitokacho katika nyumba zao, hapo utakapoleta kikosi juu yao kwa ghafula; kwa maana wamenichimbia shimo waninase, nao wameifichia miguu yangu mitego.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kilio kisikilike katika nyumba zao, utakapowaletea kundi la wanyanganyi kwa rafla. Maana wamechimba shimo waninase; wameitegea miguu yangu mitego.