Jeremiah 18:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wazijua njama zao zote za kuniua. Usiwasamehe uovu wao, wala kufuta dhambi zao. Waanguke chini mbele yako; uwakabili wakati wa hasira yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini unajua, Ee Mwenyezi Mungu, hila zao zote za kuniua. Usiyasamehe makosa yao wala usifute dhambi zao mbele za macho yako. Wao na waangamizwe mbele zako; uwaadhibu wakati wa hasira yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wewe, Bwana, unajua mashauri yao yote juu yangu, ya kuniua; usiwasamehe uovu wao, wala usifute dhambi yao mbele za macho yako; bali wakwazwe mbele zako; uwatende mambo wakati wa hasira yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wazijua njama zao zote za kuniua. Usiwasamehe uovu wao, wala kufuta dhambi zao. Waanguke chini mbele yako; uwakabili wakati wa hasira yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini unajua, Ee BWANA, hila zao zote za kuniua. Usiyasamehe makosa yao wala usifute dhambi zao mbele za macho yako. Wao na waangamizwe mbele zako; uwashughulikie wakati wa hasira yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini unajua, Ee bwana, hila zao zote za kuniua. Usiyasamehe makosa yao wala usifute dhambi zao mbele za macho yako. Wao na waangamizwe mbele zako; uwashughulikie wakati wa hasira yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wewe, BWANA, unajua mashauri yao yote juu yangu, ya kuniua; usiwasamehe uovu wao, wala usifute dhambi yao mbele za macho yako; bali wakwazwe mbele zako; uwatende mambo wakati wa hasira yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wazijua njama zao zote za kuniua. Usiwasamehe uovu wao, wala kufuta dhambi zao. Waanguke chini mbele yako; uwakabili wakati wa hasira yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe Bwana, unaijua njama yao yote ya kuniua; usizifunike manza zao, wala usiyafute makosa yao usoni pako, wawe wameangushwa usoni pako! Siku, makali yako yatakapowakia, wapigie shauri!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wewe, BWANA, unajua mashauri yao yote juu yangu, ya kuniua; usiwasamehe uovu wao, wala usifute dhambi yao mbele za macho yako; bali wakwazwe mbele zako; uwatende mambo wakati wa hasira yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wewe, ee Yawe, unajua mashauri yao ya kuniua. Usiwasamehe uovu wao, wala kufuta zambi zao. Waanguke chini mbele yako; uwapige wakati wa hasira yako.