Jeremiah 18:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati wowote nitakapotoa tamko kuhusu taifa au ufalme kwamba nitalingoa na kulivunja na kuliangamiza,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati wowote nitatangaza kuwa taifa au ufalme utang’olewa, utaangushwa na kuangamizwa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati wo wote nitakapotoa habari za taifa, na habari za ufalme, kuung'oa, na kuuvunja, na kuuangamiza;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati wowote nitakapotoa tamko kuhusu taifa au ufalme kwamba nitaling'oa na kulivunja na kuliangamiza,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa wakati wo wote nikitangaza kuwa taifa au ufalme utang'olewa, utaangushwa na kuangamizwa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa wakati wowote nikitangaza kuwa taifa au ufalme utang’olewa, utaangushwa na kuangamizwa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati wowote nitakapotoa habari za taifa, na habari za ufalme, kuung'oa, na kuuvunja, na kuuangamiza;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati wowote nitakapotoa tamko kuhusu taifa au ufalme kwamba nitalingoa na kulivunja na kuliangamiza,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mara ninatisha taifa au ufalme kwamba: Nitawang'oa na kuwavunja na kuwaangamiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati wo wote nitakapotoa habari za taifa, na habari za ufalme, kuung’oa, na kuuvunja, na kuuangamiza;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati wowote ninaweza kukusudia juu ya taifa au ufalme kwamba nitaliongoa, kulipindua na kuliangamiza.