Jeremiah 18:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
halafu taifa hilo likageuka na kuacha uovu wake, basi, mimi nitaacha kulitendea yale mambo niliyokusudia kulitendea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ikiwa taifa nililolionya litatubu na kuacha uovu wake nitaghairi, wala sitaleta maafa niliyokuwa nimekusudia kwa taifa hilo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ikiwa taifa lile nililolitaja litageuka, na kuacha maovu yake nitaghairi, nisitende mabaya yale niliyoazimia kuwatenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
halafu taifa hilo likageuka na kuacha uovu wake, basi, mimi nitaacha kulitendea yale mambo niliyokusudia kulitendea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ikiwa lile taifa nililolionya litatubia uovu wake, ndipo nitakapokuwa na huruma wala sitawapiga kwa maafa niliyokuwa nimekusudia kwa ajili yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ikiwa lile taifa nililolionya litatubia uovu wake, ndipo nitakapokuwa na huruma, wala sitawapiga kwa maafa niliyokuwa nimewakusudia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ikiwa taifa lile nililolitaja litageuka, na kuacha maovu yake nitaghairi, nisitende mabaya yale niliyoazimia kuwatenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
halafu taifa hilo likageuka na kuacha uovu wake, basi, mimi nitaacha kulitendea yale mambo niliyokusudia kulitendea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini taifa hilo, nililolitisha, likigeuka na kuuacha ubaya wake, nami nitageuza moyo, nisiwafanyizie hayo mabaya, niliyoyawaza kuwafanyizia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ikiwa taifa lile nililolitaja litageuka, na kuacha maovu yake nitaghairi, nisitende mabaya yale niliyoazimia kuwatenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini taifa hilo likigeuka na kuacha uovu wake, basi, mimi nitaacha kulitendea mambo yale niliyokusudia.