Jeremiah 19:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo ndivyo nitakavyopatenda mahali hapa na wakazi wake; nitaufanya mji huu kama Tofethi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivi ndivyo nitakavyopafanya mahali hapa na kwa wale wanaoishi ndani yake, asema Mwenyezi Mungu. Nitaufanya mji huu kama Tofethi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo ndivyo nitakavyopatenda mahali hapa, asema Bwana, nao wakaao humo, hata kufanya mji huu kuwa kama Tofethi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo ndivyo nitakavyopatenda mahali hapa na wakazi wake; nitaufanya mji huu kama Tofethi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivi ndivyo nitakavyopafanya mahali hapa na kwa wale waishio ndani yake, asema BWANA. Nitaufanya mji huu kama Tofethi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivi ndivyo nitakavyopafanya mahali hapa na kwa wale waishio ndani yake, asema bwana. Nitaufanya mji huu kama Tofethi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo ndivyo nitakavyopatenda mahali hapa, asema BWANA, nao wakaao humo, hata kufanya mji huu kuwa kama Tofethi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo ndivyo nitakavyopatenda mahali hapa na wakazi wake; nitaufanya mji huu kama Tofethi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana: Hivi ndivyo, nitakavyopafanyizia mahali hapa nao wakaao hapa nitakapoutoa mji huu, uwe kama Tofeti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo ndivyo nitakavyopatenda mahali hapa, asema BWANA, nao wakaao humo, hata kufanya mji huu kuwa kama Tofethi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vile ndivyo nitakavyotendea nafasi hii na wakaaji wake. –Ni ujumbe wa Yawe.– Nitaufanya muji huu kama Tofeti.