Jeremiah 19:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya hayo, Yeremia aliondoka Tofethi, mahali ambako Mwenyezi-Mungu alimtuma aende kutoa unabii, akaenda na kusimama katika ukumbi wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu, akawatangazia watu wote akisema:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Yeremia akarudi kutoka Tofethi, mahali Mwenyezi Mungu alikuwa amemtuma kutoa unabii, akasimama katika ua wa Hekalu la Mwenyezi Mungu na kuwaambia watu wote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Yeremia akatoka huko Tofethi, huko ambako Bwana alimtuma atoe unabii; naye akasimama katika ua wa nyumba ya Bwana, akawaambia watu wote,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya hayo, Yeremia aliondoka Tofethi, mahali ambako Mwenyezi-Mungu alimtuma aende kutoa unabii, akaenda na kusimama katika ukumbi wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu, akawatangazia watu wote akisema:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yeremia akarudi kutoka Tofethi, mahali ambapo BWANA alikuwa amemtuma kutoa unabii, akasimama katika ua wa Hekalu la BWANA na kuwaambia watu wote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Yeremia akarudi kutoka Tofethi, mahali ambapo bwana alikuwa amemtuma kutoa unabii, akasimama katika ua wa Hekalu la bwana na kuwaambia watu wote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Yeremia akatoka huko Tofethi, huko ambako BWANA alimtuma atoe unabii; naye akasimama katika ua wa nyumba ya BWANA, akawaambia watu wote,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya hayo, Yeremia aliondoka Tofethi, mahali ambako Mwenyezi-Mungu alimtuma aende kutoa unabii, akaenda na kusimama katika ukumbi wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu, akawatangazia watu wote akisema:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeremia aliporudi toka Tofeti, Bwana alikomtuma kuwafumbulia watu, akaja kusimama uani pake Nyumba ya Bwana, akawaambia watu wote waliokuwako:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Yeremia akatoka huko Tofethi, huko ambako BWANA alimtuma atoe unabii; naye akasimama katika ua wa nyumba ya BWANA, akawaambia watu wote,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya mambo haya, Yeremia aliondoka Tofeti, pahali ambapo Yawe alipomutuma aende kutoa unabii, akaenda kusimama katika kiwanja cha nyumba ya Yawe, akawatangazia watu wote maneno haya: