Jeremiah 19:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
halafu uende pamoja nao katika bonde la Mwana wa Hinomu, kwa kupitia lango la Vigae. Ukifika huko, tangaza maneno ninayokuambia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na mtoke mwende hadi Bonde la Ben-Hinomu, karibu na ingilio la Lango la Vigae. Huko tangaza maneno ninayokuambia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ukatoke uende mpaka bonde la mwana wa Hinomu lililo karibu na mahali pa kuingia kwa lango la vigae, ukahubiri huko maneno nitakayokuambia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
halafu uende pamoja nao katika bonde la Mwana wa Hinomu, kwa kupitia lango la Vigae. Ukifika huko, tangaza maneno ninayokuambia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na mtoke mwende mpaka kwenye Bonde la Ben-Hinomu, karibu na ingilio la Lango la Vigae. Huko tangaza maneno ninayokuambia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na mtoke mwende mpaka kwenye Bonde la Ben-Hinomu, karibu na ingilio la Lango la Vigae. Huko tangaza maneno ninayokuambia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ukatoke uende mpaka bonde la mwana wa Hinomu lililo karibu na mahali pa kuingia kwa lango la vigae, ukahubiri huko maneno nitakayokuambia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
halafu uende pamoja nao katika bonde la Mwana wa Hinomu, kwa kupitia lango la Vigae. Ukifika huko, tangaza maneno ninayokuambia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
utoke nao kwenda katika bonde la Mwana wa Hinomu lililoko mbele ya Lango la Vigae, utangaze huko maneno, nitakayokuambia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ukatoke uende mpaka bonde la mwana wa Hinomu lililo karibu na mahali pa kuingia kwa lango la vigae, ukahubiri huko maneno nitakayokuambia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu uende pamoja nao katika bonde la Mwana wa Hinomu, kwa kupitia mulango unaoitwa mulango wa Vigae. Ukifika huko, utangaze maneno ninayokuambia.