Jeremiah 19:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitaufanya mji huu kuwa mahali pa kushangaza; naam, nitaufanya uwe kitu cha kuzomewa. Kila mtu anayepita karibu nao atashangaa na kuuzomea kwa sababu ya maafa yote yatakayoupata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitauharibu mji huu na kuufanya kitu cha kutisha na cha kudharauliwa. Wote wapitao karibu watashangaa na kuudhihaki kwa sababu ya majeraha yake yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitaufanya mji huu kuwa kitu cha kushangaza watu, na kuzomewa; kila mtu apitaye karibu nao atashangaa, na kuzomea kwa sababu ya mapigo yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitaufanya mji huu kuwa mahali pa kushangaza; naam, nitaufanya uwe kitu cha kuzomewa. Kila mtu anayepita karibu nao atashangaa na kuuzomea kwa sababu ya maafa yote yatakayoupata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitauharibu mji huu na kuufanya kitu cha kudharauliwa, wote wapitao karibu watashangaa na wataudhihaki kwa ajili ya majeraha yake yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitauharibu mji huu na kuufanya kitu cha kudharauliwa. Wote wapitao karibu watashangaa na kuudhihaki kwa sababu ya majeraha yake yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitaufanya mji huu kuwa kitu cha kushangaza watu, na kuzomewa; kila mtu apitaye karibu nao atashangaa, na kuzomea kwa sababu ya mapigo yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitaufanya mji huu kuwa mahali pa kushangaza; naam, nitaufanya uwe kitu cha kuzomewa. Kila mtu anayepita karibu nao atashangaa na kuuzomea kwa sababu ya maafa yote yatakayoupata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao mji huu nitaugeuza kuwa mapori tu, uzomelewe kabisa; kila atakayepapita ataustukia, atauzomea kwa ajili ya mapigo yake yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitaufanya mji huu kuwa kitu cha kushangaza watu, na kuzomewa; kila mtu apitaye karibu nao atashangaa, na kuzomea kwa sababu ya mapigo yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitaufanya muji huu kuwa pahali pa kushangaza; nitaufanya kuwa kitu cha kuzomewa. Kila mutu anayepita karibu nao atashangaa na kuuzomea kwa sababu ya hasara zote zitakazowapata.