Jeremiah 2:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haya, vukeni bahari hadi Kupro mkaone, au tumeni watu huko Kedari wakachunguze, kama jambo kama hili limewahi kutokea:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vuka, nenda ng’ambo hadi pwani ya Kitimu nawe uangalie, tuma watu waende Kedari, wachunguze kwa makini, uone kama kumeshawahi kuwa kitu kama hiki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana, vukeni mpaka visiwa vya Kitimu, mkaone; tumeni watu waende Kedari, mkafikiri sana; mkaone kwamba jambo kama hili limekuwa wakati wo wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haya, vukeni bahari hadi Kupro mkaone, au tumeni watu huko Kedari wakachunguze, kama jambo kama hili limewahi kutokea:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vuka, nenda ng'ambo mpaka pwani ya Kitimu nawe uangalie, tuma watu waende Kedari na wachunguze kwa makini, uone kama kumekuwapo kitu kama hiki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vuka, nenda ng’ambo mpaka pwani ya Kitimu nawe uangalie, tuma watu waende Kedari, wachunguze kwa makini, uone kama kumekuwepo kitu kama hiki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana, vukeni mpaka visiwa vya Kitimu, mkaone; tumeni watu waende Kedari, mkafikiri sana; mkaone kwamba jambo kama hili limekuwa wakati wowote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haya, vukeni bahari hadi Kupro mkaone, au tumeni watu huko Kedari wakachunguze, kama jambo kama hili limewahi kutokea:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya! Vukeni, mfike pwani kwa Wakiti, mwone! Tumeni watu, waje Kedari, mtambue vema na kuona, kama yamekuwako mambo kama hayo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana, vukeni mpaka visiwa vya Kitimu, mkaone; tumeni watu waende Kedari, mkafikiri sana; mkaone kwamba jambo kama hili limekuwa wakati wo wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi muvuke bahari mpaka Kipuro, muone, au mutume watu huko Kedari wachunguze, kama jambo kama hili limekwisha kutokea.