Jeremiah 2:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shangaeni enyi mbingu, juu ya jambo hili, mkastaajabu na kufadhaika kabisa. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shangaeni katika hili, ee mbingu, nanyi tetemekeni kwa hofu kuu,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi mbingu, staajabuni kwa ajili ya jambo hili, mkaogope sana, na kuwa ukiwa sana, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shangaeni enyi mbingu, juu ya jambo hili, mkastaajabu na kufadhaika kabisa. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shangaeni katika hili, Ee mbingu, nanyi tetemekeni kwa hofu kuu,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shangaeni katika hili, ee mbingu, nanyi tetemekeni kwa hofu kuu,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi mbingu, staajabuni kwa ajili ya jambo hili, mkaogope sana, na kuwa ukiwa sana, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shangaeni enyi mbingu, juu ya jambo hili, mkastaajabu na kufadhaika kabisa. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yastukeni, ninyi mbingu, mambo kama hayo! Zizimukeni kwa kushangaa kabisa! ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi mbingu, staajabuni kwa ajili ya jambo hili, mkaogope sana, na kuwa ukiwa sana, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo mushangae, enyi mbingu, muogope na kufazaika kabisa. –Ni ujumbe wa Yawe.–