Jeremiah 2:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Simba wanamngurumia, wananguruma kwa sauti kubwa. Nchi yake wameifanya jangwa, miji yake imekuwa magofu, haina watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Simba wamenguruma; wamemngurumia. Wameifanya nchi yake kuwa ukiwa; miji yake imeteketezwa, nayo imeachwa haina watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana-simba wamenguruma juu yake, wametoa sana sauti zao; Nao wameifanya nchi yake kuwa ukiwa; miji yake imeteketea, haina watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Simba wanamngurumia, wananguruma kwa sauti kubwa. Nchi yake wameifanya jangwa, miji yake imekuwa magofu, haina watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Simba wamenguruma; wamemngurumia. Wameifanya nchi yake kuwa ukiwa; miji yake imeteketezwa nayo imeachwa haina watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Simba wamenguruma; wamemngurumia. Wameifanya nchi yake kuwa ukiwa; miji yake imeteketezwa, nayo imeachwa haina watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanasimba wamenguruma juu yake, wametoa sana sauti zao; Nao wameifanya nchi yake kuwa ukiwa; miji yake imeteketea, haina watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Simba wanamngurumia, wananguruma kwa sauti kubwa. Nchi yake wameifanya jangwa, miji yake imekuwa magofu, haina watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Simba wanamngurumia na kupaza sauti zao, wakaigeuza nchi yake kuwa mapori tu, miji yake imeteketezwa, haina mwenye kukaa humo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana-simba wamenguruma juu yake, wametoa sana sauti zao; Nao wameifanya nchi yake kuwa ukiwa; miji yake imeteketea, haina watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Simba wananguruma kwa ajili yake, wananguruma kwa sauti kubwa. Wameiharibu kabisa inchi yake, miji yake imebaki mabomoko pasipo watu.