Jeremiah 2:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Israeli, je, hayo yote si umejiletea mwenyewe, kwa kuniacha mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niliyekuwa ninakuongoza njiani?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, hukujiletea hili wewe mwenyewe kwa kumwacha Mwenyezi Mungu, Mungu wako alipowaongoza njiani?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Hukujipatia mambo haya mwenyewe, kwa kuwa umemwacha Bwana, Mungu wako, alipokuongoza njiani?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Israeli, je, hayo yote si umejiletea mwenyewe, kwa kuniacha mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niliyekuwa ninakuongoza njiani?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, hukujiletea hili wewe mwenyewe kwa kumwacha BWANA, Mungu wako alipowaongoza njiani?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, hukujiletea hili wewe mwenyewe kwa kumwacha bwana, Mungu wako alipowaongoza njiani?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Hukujipatia mambo haya mwenyewe, kwa kuwa umemwacha BWANA, Mungu wako, alipokuongoza njiani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Israeli, je, hayo yote si umejiletea mwenyewe, kwa kuniacha mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niliyekuwa ninakuongoza njiani?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kulikokupatia hayo siko kumwacha Bwana Mungu wako, alipotaka kukuongoza njiani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Hukujipatia mambo haya mwenyewe, kwa kuwa umemwacha BWANA, Mungu wako, alipokuongoza njiani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Israeli, si wewe mwenyewe uliyejiletea hayo yote, kwa kuniacha mimi Yawe, Mungu wako, niliyekuwa ninakuongoza katika njia?