Jeremiah 2:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Israeli, usiichakaze miguu yako wala usilikaushe koo lako. Lakini wewe wasema: ‘Hakuna tumaini lolote. Nimeipenda miungu ya kigeni, hiyo ndiyo nitakayoifuata.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usikimbie hadi miguu yako iwe haina viatu, na koo lako liwe limekauka. Lakini ulisema, ‘Haina maana! Ninaipenda miungu ya kigeni, nami lazima niifuatie.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zuia mguu wako usikose kiatu, na koo yako isiwe na kiu; lakini wewe ulisema, Hapana matumaini kabisa; la, maana nimewapenda wageni, nami nitawafuata.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Israeli, usiichakaze miguu yako wala usilikaushe koo lako. Lakini wewe wasema: ‘Hakuna tumaini lolote. Nimeipenda miungu ya kigeni, hiyo ndiyo nitakayoifuata.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usikimbie hadi miguu yako iwe haina viatu na koo lako liwe limekauka. Lakini ulisema, ‘Haina maana! Ninaipenda miungu ya kigeni, nami ni lazima niifuatie.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usikimbie hadi miguu yako iwe haina viatu, na koo lako liwe limekauka. Lakini ulisema, ‘Haina maana! Ninaipenda miungu ya kigeni, nami lazima niifuatie.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Zuia mguu wako usikose kiatu, na koo yako isiwe na kiu; lakini wewe ulisema, Hakuna matumaini kabisa, la, maana nimewapenda wageni, nami nitawafuata.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Israeli, usiichakaze miguu yako wala usilikaushe koo lako. Lakini wewe wasema: ‘Hakuna tumaini lolote. Nimeipenda miungu ya kigeni, hiyo ndiyo nitakayoifuata.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Iangalie miguu yako, usivichakaze viatu! Liangalie nalo koo lako, lisipatwe na kiu! Lakini wewe hujibu: Ni kazi bure kunionya, sionyeki, kwani ninapenda wageni, nitawafuata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zuia mguu wako usikose kiatu, na koo yako isiwe na kiu; lakini wewe ulisema, Hapana matumaini kabisa; la, maana nimewapenda wageni, nami nitawafuata.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Israeli, usiichubue miguu yako wala usilikaushe koo lako. Lakini wewe unasema: Hakuna tumaini lolote. Ninapenda miungu ya kigeni, hiyo ndiyo nitakayoifuata.