Jeremiah 2:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbona mnanilalamikia? Nyinyi nyote mmeniasi. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa nini mnaleta mashtaka dhidi yangu? Ninyi nyote mmeniasi,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona mnataka kuteta nami? Ninyi nyote mmeniasi, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbona mnanilalamikia? Nyinyi nyote mmeniasi. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa nini mnaleta mashtaka dhidi yangu? Ninyi nyote mmeniasi,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa nini mnaleta mashtaka dhidi yangu? Ninyi nyote mmeniasi,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona mnataka kuteta nami? Ninyi nyote mmeniasi, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbona mnanilalamikia? Nyinyi nyote mmeniasi. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona unanigombeza? Ninyi nyote mmenitengua; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona mnataka kuteta nami? Ninyi nyote mmeniasi, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini basi munanilalamikia? Ninyi wote mumeniasi. –Ni ujumbe wa Yawe.–