Jeremiah 2:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kijana msichana aweza kusahau mapambo yake au bibi arusi mavazi yake? Lakini watu wangu wamenisahau kwa muda wa siku zisizohesabika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, mwanamwali husahau vito vyake, au bibi arusi mapambo yake ya arusi? Lakini watu wangu wamenisahau mimi, tena kwa siku zisizo na hesabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mwanamwali aweza kusahau mapambo yake, au bibi arusi mavazi yake? Lakini watu wangu wamenisahau mimi kwa muda wa siku zisizo na hesabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kijana msichana aweza kusahau mapambo yake au bibi arusi mavazi yake? Lakini watu wangu wamenisahau kwa muda wa siku zisizohesabika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, mwanamwali husahau vitu vyake vilivyofanyizwa kwa vito, bibi arusi husahau mapambo yake ya arusi? Lakini watu wangu wamenisahau mimi, tena kwa siku zisizo na hesabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, mwanamwali husahau vito vyake, au bibi arusi mapambo yake ya arusi? Lakini watu wangu wamenisahau mimi, tena kwa siku zisizo na hesabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mwanamwali aweza kusahau mapambo yake, au bibi harusi mavazi yake? Lakini watu wangu wamenisahau mimi kwa muda wa siku zisizo na hesabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kijana msichana aweza kusahau mapambo yake au bibi arusi mavazi yake? Lakini watu wangu wamenisahau kwa muda wa siku zisizohesabika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Yuko mwanamwali asahauye kujipamba au mchumba asahauye kuvaa yapasayo ndoa? Nao walio ukoo wangu wamenisahau siku zisizohesabika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mwanamwali aweza kusahau mapambo yake, au bibi arusi mavazi yake? Lakini watu wangu wamenisahau mimi kwa muda wa siku zisizo na hesabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kijana binti anaweza kusahau mapambo yake, au bibi arusi nguo yake? Lakini watu wangu wamenisahau kwa muda wa siku zisizohesabika.