Jeremiah 2:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nguo zako zina damu ya maskini wasio na hatia, japo hukuwakuta wakivunja nyumba yako. “Lakini licha ya hayo yote,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika nguo zako watu huona damu ya uhai ya maskini wasio na hatia, ingawa hukuwakamata wakivunja nyumba. Lakini katika haya yote
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena katika pindo za nguo zako imeonekana damu ya roho zao maskini wasio na hatia; sikuiona penye mahali palipobomoka, lakini naliiona juu ya hawa wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nguo zako zina damu ya maskini wasio na hatia, japo hukuwakuta wakivunja nyumba yako. “Lakini licha ya hayo yote,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika nguo zako watu huona damu ya uhai ya maskini wasio na hatia, ingawa hukuwakamata wakivunja nyumba. Lakini pamoja na haya yote
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika nguo zako watu huona damu ya uhai ya maskini wasio na hatia, ingawa hukuwakamata wakivunja nyumba. Lakini katika haya yote
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena katika pindo za nguo zako imeonekana damu ya roho zao maskini wasio na hatia; sikuiona mahali palipobomoka, lakini niliiona juu ya hawa wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nguo zako zina damu ya maskini wasio na hatia, japo hukuwakuta wakivunja nyumba yako. “Lakini licha ya hayo yote,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumbe hata mapindo ya nguo zako yameshikwa na damu zao wakiwa waliouawa pasipo makosa yao yo yote. Nao hukuwapata, wakipokonya, ila ni mambo yayo hayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena katika pindo za nguo zako imeonekana damu ya roho zao maskini wasio na hatia; sikuiona penye mahali palipobomoka, lakini naliiona juu ya hawa wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Juu ya nguo zako kuna damu ya wamasikini wasiokuwa na kosa, ijapokuwa haukuwakuta wakivunja nyumba yako. Na zaidi ya hayo yote,