Jeremiah 2:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nini unajirahisisha hivi, ukibadilibadili mwenendo wako? Utaaibishwa na Misri, kama ulivyoaibishwa na Ashuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini unatangatanga sana, ukibadili njia zako? Utakatishwa tamaa na Misri kama ulivyokatishwa na Ashuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona unatanga-tanga hivi upate kugeuza mwendo wako? Utaona haya kwa ajili ya Misri pia, kama ulivyoona haya kwa ajili ya Ashuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nini unajirahisisha hivi, ukibadilibadili mwenendo wako? Utaaibishwa na Misri, kama ulivyoaibishwa na Ashuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini unatangatanga sana, kubadili njia zako? Utakatishwa tamaa na Misri kama ulivyokatishwa na Ashuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini unatangatanga sana, kubadili njia zako? Utakatishwa tamaa na Misri kama ulivyokatishwa na Ashuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona unatangatanga hivi upate kugeuza mwendo wako? Utaona haya kwa ajili ya Misri pia, kama ulivyoona haya kwa ajili ya Ashuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nini unajirahisisha hivi, ukibadilibadili mwenendo wako? Utaaibishwa na Misri, kama ulivyoaibishwa na Ashuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona unatangatanga sana, uigeuze njia yako? Hata Wamisri watakutia soni, kama Waasuri walivyokutia soni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona unatanga-tanga hivi upate kugeuza mwendo wako? Utaona haya kwa ajili ya Misri pia, kama ulivyoona haya kwa ajili ya Ashuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini unaniachilia hivi, ukibadilishabadilisha mwenendo wako? Utafezeheshwa na Misri kama ulivyofezeheshwa na Asuria.