Jeremiah 2:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na huko pia utatoka, mikono kichwani kwa aibu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimewakataa wale uliowategemea, wala hutafanikiwa kwa msaada wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia utaondoka mahali hapo ukiwa umeweka mikono kichwani, kwa kuwa Mwenyezi Mungu amewakataa wale unaowatumainia; hutasaidiwa nao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata kwake pia utatoka, na mikono yako juu ya kichwa chako; kwa maana Bwana amewakataa uliowakimbilia, wala hutafanikiwa katika hao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na huko pia utatoka, mikono kichwani kwa aibu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimewakataa wale uliowategemea, wala hutafanikiwa kwa msaada wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia utaondoka mahali hapo ukiwa umeweka mikono kichwani, kwa kuwa BWANA amewakataa wale unaowatumainia; hutasaidika kwa kupitia wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia utaondoka mahali hapo ukiwa umeweka mikono kichwani, kwa kuwa bwana amewakataa wale unaowatumainia; hutasaidiwa nao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata kwake pia utatoka, na mikono yako juu ya kichwa chako; kwa maana BWANA amewakataa uliowakimbilia, wala hutafanikiwa katika hao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na huko pia utatoka, mikono kichwani kwa aibu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimewakataa wale uliowategemea, wala hutafanikiwa kwa msaada wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko nako utatoka, mikono yako ikiwa kichwani, kwani Bwana amewakataa, uliowakimbilia; kwa hiyo hakuna, utakachokipata kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata kwake pia utatoka, na mikono yako juu ya kichwa chako; kwa maana BWANA amewakataa uliowakimbilia, wala hutafanikiwa katika hao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na huko vilevile utatoka na haya, mikono ikiwa juu ya kichwa. Mimi Yawe nimewakataa wale uliowategemea, wala hautafanikiwa kwa musaada wao.