Jeremiah 2:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi wazawa wa Yakobo. Sikilizeni enyi jamaa zote za wazawa wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikia neno la Mwenyezi Mungu, ee nyumba ya Yakobo, nanyi nyote jamaa za nyumba ya Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lisikieni neno la Bwana, ninyi nyumba ya Yakobo, na ninyi, jamaa zote za nyumba ya Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi wazawa wa Yakobo. Sikilizeni enyi jamaa zote za wazawa wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikia neno la BWANA, Ee nyumba ya Yakobo, nanyi nyote jamaa za nyumba ya Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikia neno la bwana, ee nyumba ya Yakobo, nanyi nyote jamaa za nyumba ya Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lisikieni neno la BWANA, ninyi nyumba ya Yakobo, na ninyi, jamaa zote za nyumba ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi wazawa wa Yakobo. Sikilizeni enyi jamaa zote za wazawa wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lisikilizeni Neno la Bwana ninyi wa mlango wa Yakobo nanyi vizazi vyote vya mlango wa Isiraeli!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lisikieni neno la BWANA, ninyi nyumba ya Yakobo, na ninyi, jamaa zote za nyumba ya Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikilize neno la Yawe, enyi wazao wa Yakobo. Musikilize, enyi jamaa zote za wazao wa Israeli.