Jeremiah 2:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asema, “Kwa hiyo, mimi nitawalaumu nyinyi, na nitawalaumu wazawa wenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa hiyo naleta tena mashtaka dhidi yako,” asema Mwenyezi Mungu. “Nami nitaleta mashtaka dhidi ya watoto wa watoto wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, kwa ajili ya hayo nitateta nanyi, asema Bwana, nami nitateta na watoto wa watoto wenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asema, “Kwa hiyo, mimi nitawalaumu nyinyi, na nitawalaumu wazawa wenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa hiyo naleta tena mashtaka dhidi yako,” asema BWANA. “Nami nitaleta mashtaka dhidi ya watoto wa watoto wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa hiyo naleta tena mashtaka dhidi yako,” asema bwana. “Nami nitaleta mashtaka dhidi ya watoto wa watoto wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, kwa ajili ya hayo nitateta nanyi, asema BWANA, nami nitateta na watoto wa watoto wenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asema, “Kwa hiyo, mimi nitawalaumu nyinyi, na nitawalaumu wazawa wenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Bwana asema: Kweli inanipasa kufuliza kuwagombeza ninyi, nao wana wa wana wenu nitawagombeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, kwa ajili ya hayo nitateta nanyi, asema BWANA, nami nitateta na watoto wa watoto wenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, mimi nitawashitaki ninyi, na nitawashitaki wazao wenu. –Ni ujumbe wa Yawe.–