Jeremiah 20:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani Pashuri mwana wa Imeri, ambaye alikuwa ofisa mkuu wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu, alimsikia Yeremia akitoa unabii huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikawa kuhani Pashuri mwana wa Imeri, mkuu wa maafisa wa Hekalu la Mwenyezi Mungu, alipomsikia Yeremia akitoa unabii kuhusu mambo haya,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Pashuri, mwana wa Imeri, kuhani, aliyekuwa msimamizi mkuu katika nyumba ya Bwana, alimsikia Yeremia alipokuwa akitabiri maneno hayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani Pashuri mwana wa Imeri, ambaye alikuwa ofisa mkuu wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu, alimsikia Yeremia akitoa unabii huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikawa kuhani Pashuri mwana wa Imeri, mkuu wa maafisa wa Hekalu la BWANA, alipomsikia Yeremia akitoa unabii juu ya mambo haya,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikawa kuhani Pashuri mwana wa Imeri, mkuu wa maafisa wa Hekalu la bwana, alipomsikia Yeremia akitoa unabii juu ya mambo haya,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Pashuri, mwana wa Imeri, kuhani, aliyekuwa msimamizi mkuu katika nyumba ya BWANA, alimsikia Yeremia alipokuwa akitoa unabii huo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani Pashuri mwana wa Imeri, ambaye alikuwa ofisa mkuu wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu, alimsikia Yeremia akitoa unabii huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtambikaji Pashuri, mwana wa Imeri, aliyekuwa msimamizi mkuu wa Nyumba ya Bwana, akamsikia Yeremia, alipoyafumbua maneno yale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Pashuri, mwana wa Imeri, kuhani, aliyekuwa msimamizi mkuu katika nyumba ya BWANA, alimsikia Yeremia alipokuwa akitabiri maneno hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani Pashuri mwana wa Imeri, ambaye alikuwa musimamizi mukubwa wa nyumba ya Yawe, alimusikia Yeremia akitangaza unabii huo.