Jeremiah 20:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu; msifuni Mwenyezi-Mungu, kwani ameyaokoa maisha ya mhitaji, kutoka mikononi mwa watu waovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwimbieni Mwenyezi Mungu! Mpeni Mwenyezi Mungu sifa! Yeye huokoa uhai wa mhitaji kutoka mikononi mwa waovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwimbieni Bwana; msifuni Bwana; Kwa maana ameiponya roho ya mhitaji Katika mikono ya watu watendao maovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu; msifuni Mwenyezi-Mungu, kwani ameyaokoa maisha ya mhitaji, kutoka mikononi mwa watu waovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwimbieni BWANA! Mpeni BWANA sifa! Huokoa uhai wa mhitaji kutoka mikononi mwa waovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwimbieni bwana! Mpeni bwana sifa! Yeye huokoa uhai wa mhitaji kutoka mikononi mwa waovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwimbieni BWANA; msifuni BWANA; Kwa maana ameiponya roho ya mhitaji Katika mikono ya watu watendao maovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu; msifuni Mwenyezi-Mungu, kwani ameyaokoa maisha ya mhitaji, kutoka mikononi mwa watu waovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwimbieni Bwana! Mshangilieni Bwana! Kwani huiponya roho ya mkiwa mikononi mwao wafanyao mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwimbieni BWANA; msifuni BWANA; Kwa maana ameiponya roho ya mhitaji Katika mikono ya watu watendao maovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumwimbie Yawe, mumusifu Yawe, kwa maana anaokoa maisha ya mukosefu kutoka katika mikono ya watu waovu.