Jeremiah 20:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na ilaaniwe siku niliyozaliwa! Siku hiyo mama aliponizaa, isitakiwe baraka!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilaaniwe siku niliyozaliwa! Nayo isibarikiwe ile siku mama yangu aliyonizaa!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ilaaniwe siku niliyozaliwa, isibarikiwe siku ile aliyonizaa mama yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na ilaaniwe siku niliyozaliwa! Siku hiyo mama aliponizaa, isitakiwe baraka!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ilaaniwe siku niliyozaliwa! Nayo isibarikiwe ile siku mama yangu aliyonizaa!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilaaniwe siku niliyozaliwa! Nayo isibarikiwe ile siku mama yangu aliyonizaa!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ilaaniwe siku niliyozaliwa, isibarikiwe siku ile aliyonizaa mama yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na ilaaniwe siku niliyozaliwa! Siku hiyo mama aliponizaa, isitakiwe baraka!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku niliyozaliwa iwe imeapizwa! Siku, mama yangu aliyonizaa, isibarikiwe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ilaaniwe siku niliyozaliwa, isibarikiwe siku ile aliyonizaa mama yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ilaaniwe siku niliyozaliwa! Siku hiyo mama aliponizaa, isitakiwe baraka!