Jeremiah 20:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu huyo na awe kama miji aliyoiangusha Mwenyezi-Mungu bila huruma. Mtu huyo na asikie kilio asubuhi, na mchana kelele za vita,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu huyo na awe kama ile miji ambayo Mwenyezi Mungu aliiangamiza bila huruma. Yeye na asikie maombolezo asubuhi, na ukelele wa vita adhuhuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu huyo na awe kama miji ile, ambayo Bwana aliiangamiza, asijute; na asikie kilio asubuhi, na kelele za fujo adhuhuri;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu huyo na awe kama miji aliyoiangusha Mwenyezi-Mungu bila huruma. Mtu huyo na asikie kilio asubuhi, na mchana kelele za vita,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu huyo na awe kama miji ile ambayo BWANA Mungu aliiangamiza bila huruma. Yeye na asikie maombolezo asubuhi na kilio cha vita wakati wa adhuhuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu huyo na awe kama miji ile ambayo bwana Mwenyezi Mungu aliiangamiza bila huruma. Yeye na asikie maombolezo asubuhi na kilio cha vita adhuhuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu huyo na awe kama miji ile, ambayo BWANA aliiangamiza, asijute; na asikie kilio asubuhi, na kelele za fujo adhuhuri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu huyo na awe kama miji aliyoiangusha Mwenyezi-Mungu bila huruma. Mtu huyo na asikie kilio asubuhi, na mchana kelele za vita,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu huyo na awe kama ile miji, Bwana aliyoiangamiza pasipo kugeuza moyo! Asubuhi na asikie vilio, tena makelele, jua linapofika kichwani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu huyo na awe kama miji ile, ambayo BWANA aliiangamiza, asijute; na asikie kilio asubuhi, na kelele za fujo adhuhuri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu huyo akuwe kama miji Yawe aliyoiangusha bila huruma. Mutu huyo asikie kilio asubui, na muchana asikie kelele za vita,