Jeremiah 20:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwani hakuniua tumboni mwa mama yangu; mama yangu angekuwa kaburi langu, tumbo lake lingebaki kubwa daima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu hakuniua nikiwa tumboni, hivyo mama yangu angekuwa kaburi langu, nalo tumbo lake la uzazi lingebaki kuwa kubwa daima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa sababu hakuniua nilipotoka tumboni, na hivyo mama yangu angekuwa kaburi langu, na mimba yake sikuzote nzito.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwani hakuniua tumboni mwa mama yangu; mama yangu angekuwa kaburi langu, tumbo lake lingebaki kubwa daima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu hakuniua nikiwa tumboni, hivyo mama yangu angekuwa kaburi langu, nalo tumbo lake la uzazi lingebaki kuwa kubwa daima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu hakuniua nikiwa tumboni, hivyo mama yangu angekuwa kaburi langu, nalo tumbo lake la uzazi lingebaki kuwa kubwa daima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa sababu hakuniua nilipotoka tumboni, na hivyo mama yangu angekuwa kaburi langu, na mimba yake siku zote nzito.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwani hakuniua tumboni mwa mama yangu; mama yangu angekuwa kaburi langu, tumbo lake lingebaki kubwa daima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa kuwa hakunifisha tumboni mwa mama; hivyo mama angalikuwa kaburi langu, hiyo mimba yake ingalikuwa ya siku zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa sababu hakuniua nilipotoka tumboni, na hivyo mama yangu angekuwa kaburi langu, na mimba yake sikuzote nzito.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa sababu hakuniua ndani ya tumbo la mama yangu; mama yangu angekuwa kaburi langu, mimba yake ingekuwa ya siku zote.