Jeremiah 20:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nini nilitoka tumboni mwa mama yangu? Je, nilitoka ili nipate taabu na huzuni na kuishi maisha ya aibu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini basi nilitoka tumboni ili kuona taabu na huzuni, na kuzimaliza siku zangu katika aibu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalitoka tumboni kwa sababu gani, kuona taabu na huzuni, hata siku zangu ziharibike katika aibu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nini nilitoka tumboni mwa mama yangu? Je, nilitoka ili nipate taabu na huzuni na kuishi maisha ya aibu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini basi nilitoka tumboni ili kuona taabu na huzuni na kuzimaliza siku zangu katika aibu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini basi nilitoka tumboni ili kuona taabu na huzuni, na kuzimaliza siku zangu katika aibu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilitoka tumboni kwa sababu gani, kuona taabu na huzuni, hata siku zangu ziharibike katika aibu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nini nilitoka tumboni mwa mama yangu? Je, nilitoka ili nipate taabu na huzuni na kuishi maisha ya aibu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona nilitoka tumboni kuona masumbufu na machungu, siku zangu zikamalizika, nikipatwa na soni tu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalitoka tumboni kwa sababu gani, kuona taabu na huzuni, hata siku zangu ziharibike katika aibu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini nilitoka katika tumbo la mama yangu? Nilitoka kusudi nipate taabu na huzuni na kuishi maisha ya haya?