Jeremiah 20:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kesho yake asubuhi, Pashuri alipomtoa Yeremia katika mkatale huo, Yeremia alimwambia hivi: “Mwenyezi-Mungu hakuiti tena Pashuri, bali ‘Kitisho Pande Zote’.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya pili Pashuri alipomwachia kwenye mkatale, Yeremia akamwambia, “Mwenyezi Mungu hakukuita jina lako kuwa Pashuri bali Magor-Misabibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata ikawa, asubuhi, Pashuri huyo akamtoa Yeremia katika mkatale. Ndipo Yeremia akamwambia, Bwana hakukuita jina lako Pashuri, bali Magor-misabibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kesho yake asubuhi, Pashuri alipomtoa Yeremia katika mkatale huo, Yeremia alimwambia hivi: “Mwenyezi-Mungu hakuiti tena Pashuri, bali ‘Kitisho Pande Zote’.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ya pili Pashuri alipomwachia kutoka kwenye mkatale, Yeremia akamwambia, “BWANA hakukuita jina lako kuwa Pashuri bali Magor-Misabibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ya pili Pashuri alipomwachia kutoka kwenye mkatale, Yeremia akamwambia, “ bwana hakukuita jina lako kuwa Pashuri bali Magor-Misabibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata ikawa, asubuhi, Pashuri huyo akamtoa Yeremia katika mkatale. Ndipo Yeremia akamwambia, BWANA hakukuita jina lako Pashuri, bali Magor-misabibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kesho yake asubuhi, Pashuri alipomtoa Yeremia katika mkatale huo, Yeremia alimwambia hivi: “Mwenyezi-Mungu hakuiti tena Pashuri, bali ‘Kitisho Pande Zote’.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kulipokucha Pashuri akamfungua Yeremia tena katika mikatale; ndipo, Yeremia alipomwambia: Bwana hatakuita tena jina lako Pashuri, ila Magori-Misabibu (Kitisho po pote).
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata ikawa, asubuhi, Pashuri huyo akamtoa Yeremia katika mkatale. Ndipo Yeremia akamwambia, BWANA hakukuita jina lako Pashuri, bali Magor-misabibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kesho yake asubui, Pashuri akamufungua Yeremia toka minyororo ile. Yeremia akamwambia hivi: Yawe hakuiti tena jina lako “Pashuri”, lakini “Kitisho Kila Pahali”.