Jeremiah 20:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, wewe umenidanganya, nami kweli nikadanganyika; wewe una nguvu kuliko mimi, nawe umeshinda. Kutwa nzima nimekuwa mtu wa kuchekwa, kila mtu ananidhihaki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, umenidanganya, nami nikadanganyika; wewe una nguvu kuliko mimi, nawe umenishinda. Ninadharauliwa mchana kutwa, kila mmoja ananidhihaki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, umenihadaa, nami nimehadaika; wewe una nguvu kuliko mimi, ukashinda; nimekuwa kitu cha kuchekesha, mchana kutwa; kila mtu hunidhihaki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, wewe umenidanganya, nami kweli nikadanganyika; wewe una nguvu kuliko mimi, nawe umeshinda. Kutwa nzima nimekuwa mtu wa kuchekwa, kila mtu ananidhihaki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, umenidanganya, nami nikadanganyika; wewe una nguvu kuliko mimi, nawe umenishinda. Ninadharauliwa mchana kutwa, kila mmoja ananidhihaki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, umenidanganya, nami nikadanganyika; wewe una nguvu kuniliko, nawe umenishinda. Ninadharauliwa mchana kutwa, kila mmoja ananidhihaki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, umenihadaa, nami nimehadaika; wewe una nguvu kuliko mimi, ukashinda; nimekuwa kitu cha kuchekesha, mchana kutwa; kila mtu hunidhihaki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, wewe umenidanganya, nami kweli nikadanganyika; wewe una nguvu kuliko mimi, nawe umeshinda. Kutwa nzima nimekuwa mtu wa kuchekwa, kila mtu ananidhihaki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana umenishinda, nami nimeshindika; umenishika kwa nguvu, ukaniweza. Ninachekwa mchana kutwa, wote wananifyoza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, umenihadaa, nami nimehadaika; wewe una nguvu kuliko mimi, ukashinda; nimekuwa kitu cha kuchekesha, mchana kutwa; kila mtu hunidhihaki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, wewe umenidanganya, nami kweli nimedanganyika; wewe una nguvu kuliko mimi, nawe umeshinda. Nimekuwa mutu wa kuchekelewa kila siku, kila mutu ananizarau.