Jeremiah 21:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hili ni neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi-Mungu, wakati mfalme Sedekia alipowatuma Pashuri mwana wa Malkia, na kuhani Sefania mwana wa Maaseya, wamwambie Yeremia hivi:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Neno lilimjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi Mungu wakati Mfalme Sedekia alipowatuma Pashuri mwana wa Malkiya, na kuhani Sefania mwana wa Maaseya kwake, kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, kutoka kwa Bwana, hapo mfalme Sedekia alipompelekea Pashuri, mwana wa Malkiya, na Sefania, mwana wa Maaseya, kuhani, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hili ni neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi-Mungu, wakati mfalme Sedekia alipowatuma Pashuri mwana wa Malkia, na kuhani Sefania mwana wa Maaseya, wamwambie Yeremia hivi:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Neno lilimjia Yeremia kutoka kwa BWANA wakati Mfalme Sedekia alipowatuma Pashuri mwana wa Malkiya na kuhani Sefania mwana wa Maaseya kwake kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Neno lilimjia Yeremia kutoka kwa bwana wakati Mfalme Sedekia alipowatuma Pashuri mwana wa Malkiya, na kuhani Sefania mwana wa Maaseya kwake, kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, kutoka kwa BWANA, hapo mfalme Sedekia alipomtuma Pashuri, mwana wa Malkiya, na Sefania, mwana wa Maaseya, kuhani, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hili ni neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi-Mungu, wakati mfalme Sedekia alipowatuma Pashuri mwana wa Malkia, na kuhani Sefania mwana wa Maaseya, wamwambie Yeremia hivi:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili ndilo neno lililotoka kwa Bwana, likamjia Yeremia, mfalme Sedekia alipomtuma Pashuri, mwana wa Malkia, na mtambikaji Sefania, mwana wa Masea, kwenda kwake kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, kutoka kwa BWANA, hapo mfalme Sedekia alipompelekea Pashuri, mwana wa Malkiya, na Sefania, mwana wa Maaseya, kuhani, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Neno hili lilimufikia Yeremia kutoka kwa Yawe, wakati mufalme Zedekia alipowatuma Pashuri mwana wa Malkia, na kuhani Zefania mwana wa Masea kwa kumwambia Yeremia hivi: