Jeremiah 21:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimeamua kuuletea mji huu maafa na sio mema, nasema mimi Mwenyezi-Mungu. Nitautia mikononi mwa mfalme wa Babuloni, naye atauteketeza kwa moto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimekusudia kuufanyia mji huu jambo baya, wala si jema. Utatiwa mikononi mwa mfalme wa Babeli, naye atauteketeza kwa moto, asema Mwenyezi Mungu.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana nimeweka uso wangu juu ya mji huu niuletee mabaya, wala nisiuletee mema, asema Bwana; utatiwa katika mkono wa mfalme wa Babeli, naye atauteketeza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimeamua kuuletea mji huu maafa na sio mema, nasema mimi Mwenyezi-Mungu. Nitautia mikononi mwa mfalme wa Babuloni, naye atauteketeza kwa moto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimekusudia kuufanyia mji huu jambo baya wala si jema. Utatiwa mikononi mwa mfalme wa Babeli naye atauteketeza kwa moto, asema BWANA.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimekusudia kuufanyia mji huu jambo baya, wala si jema. Utatiwa mikononi mwa mfalme wa Babeli, naye atauteketeza kwa moto, asema bwana.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana nimeweka uso wangu juu ya mji huu niuletee mabaya, wala nisiuletee mema, asema BWANA; utatiwa katika mkono wa mfalme wa Babeli, naye atauteketeza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimeamua kuuletea mji huu maafa na sio mema, nasema mimi Mwenyezi-Mungu. Nitautia mikononi mwa mfalme wa Babuloni, naye atauteketeza kwa moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani nimeuelekeza uso wangu kwenye mji huu, niupatie mabaya, mema siyo; utatiwa mkononi mwake mfalme wa Babeli, auteketeze kwa moto; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana nimeweka uso wangu juu ya mji huu niuletee mabaya, wala nisiuletee mema, asema BWANA; utatiwa katika mkono wa mfalme wa Babeli, naye atauteketeza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimeamua kuleta hasara juu ya muji huu wala siyo mema. –Ni ujumbe wa Yawe.– Nitautoa katika mikono ya mufalme wa Babeli, naye atauteketeza kwa moto.