Jeremiah 21:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Utaiambia jamaa ya mfalme wa Yuda: Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Zaidi ya hayo, iambie nyumba ya mfalme ya Yuda, ‘Sikia neno la Mwenyezi Mungu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katika habari za nyumba ya mfalme wa Yuda, lisikieni neno la Bwana,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Utaiambia jamaa ya mfalme wa Yuda: Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Zaidi ya hayo, iambie nyumba ya kifalme ya Yuda, ‘Sikia neno la BWANA,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Zaidi ya hayo, ambia nyumba ya mfalme ya Yuda, ‘Sikia neno la bwana,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kuhusu habari za nyumba ya mfalme wa Yuda, lisikieni neno la BWANA,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Utaiambia jamaa ya mfalme wa Yuda: Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wa mlango wa mfalme wa Yuda waambie: Lisikieni neno la Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika habari za nyumba ya mfalme wa Yuda, lisikieni neno la BWANA,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utaiambia jamaa ya mufalme wa Yuda hivi: Musikilize neno la Yawe!