Jeremiah 21:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawaadhibu kadiri ya matendo yenu; mimi Mwenyezi-Mungu nasema. Nitawasha moto katika msitu wenu nao utateketeza kila kitu kinachouzunguka.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawaadhibu kama istahilivyo matendo yenu, asema Mwenyezi Mungu. Nitawasha moto katika misitu yenu ambao utateketeza kila kitu kinachowazunguka.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitawaadhibu kwa kadiri ya matunda ya matendo yenu, asema Bwana; nami nitawasha moto katika msitu wake, nao utateketeza vitu vyote viuzungukavyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawaadhibu kadiri ya matendo yenu; mimi Mwenyezi-Mungu nasema. Nitawasha moto katika msitu wenu nao utateketeza kila kitu kinachouzunguka.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawaadhibu kama istahilivyo matendo yenu, asema BWANA. Nitawasha moto katika misitu yenu ambao utateketeza kila kitu kinachowazunguka ninyi.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawaadhibu kama istahilivyo matendo yenu, asema bwana. Nitawasha moto katika misitu yenu ambao utateketeza kila kitu kinachowazunguka.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitawaadhibu kwa kadiri ya matendo yenu, asema BWANA; nami nitawasha moto katika msitu wake, nao utateketeza vitu vyote viuzungukavyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawaadhibu kadiri ya matendo yenu; mimi Mwenyezi-Mungu nasema. Nitawasha moto katika msitu wenu nao utateketeza kila kitu kinachouzunguka.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi nitawapatiliza, kama matendo yenu yalivyowapatia; ndivyo, asemavyo Bwana. Nitawasha moto mwituni kwao utakaozila nchi zote ziwazungukazo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitawaadhibu kwa kadiri ya matunda ya matendo yenu, asema BWANA; nami nitawasha moto katika msitu wake, nao utateketeza vitu vyote viuzungukavyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawaazibu kadiri ya matendo yenu. Nitawakisha moto katika pori lenu nao utateketeza kila kitu kinachokuwa kando yenu. –Ni ujumbe wa Yawe.