Jeremiah 21:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawaua wakazi wa mji huu: Binadamu na wanyama kadhalika. Watakufa kwa maradhi mabaya sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawaangamiza wakaaji wa mji huu, watu na wanyama, nao watauawa kwa tauni ya kutisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitawapiga wenyeji wa mji huu, wanadamu na wanyama pia; watakufa kwa tauni kubwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawaua wakazi wa mji huu: binadamu na wanyama kadhalika. Watakufa kwa maradhi mabaya sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawaangamiza waishio katika mji huu, watu na wanyama, nao watauawa kwa tauni ya kutisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawaangamiza waishio katika mji huu, watu na wanyama, nao watauawa kwa tauni ya kutisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitawapiga wenyeji wa mji huu, wanadamu na wanyama pia; watakufa kwa tauni kubwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawaua wakazi wa mji huu: Binadamu na wanyama kadhalika. Watakufa kwa maradhi mabaya sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitawatoa wakaao humu mjini, watu hata nyama, watakufa kwa ugonjwa mbaya uuao kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitawapiga wenyeji wa mji huu, wanadamu na wanyama pia; watakufa kwa tauni kubwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawaua wakaaji wa muji huu: wanadamu na nyama vilevile. Watakufa kwa magonjwa makali sana.