Jeremiah 21:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nawe Yeremia utawaambia watu hawa kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Sikilizeni! Mimi nawapeni nafasi ya kuchagua njia ya uhai au njia ya kifo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Zaidi ya hayo, waambie watu hawa, ‘Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: Tazama, naweka mbele yenu njia ya uzima, na njia ya mauti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe waambie watu hawa, Bwana asema hivi, Tazama naweka mbele yenu njia ya uzima, na njia ya mauti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nawe Yeremia utawaambia watu hawa kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Sikilizeni! Mimi nawapeni nafasi ya kuchagua njia ya uhai au njia ya kifo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Zaidi ya hayo, waambie watu hawa, ‘Hili ndilo asemalo BWANA: Tazama, naweka mbele yenu njia ya uzima na njia ya mauti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Zaidi ya hayo, waambie watu hawa, ‘Hili ndilo asemalo bwana: Tazama, naweka mbele yenu njia ya uzima, na njia ya mauti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe waambie watu hawa, BWANA asema hivi, Tazama naweka mbele yenu njia ya uzima, na njia ya mauti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nawe Yeremia utawaambia watu hawa kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Sikilizeni! Mimi nawapeni nafasi ya kuchagua njia ya uhai au njia ya kifo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao walio wa ukoo huu utawaambia: Hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Nitazameni! Ninalinganya machoni penu njia ya uzima na njia ya kufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe waambie watu hawa, BWANA asema hivi, Tazama naweka mbele yenu njia ya uzima, na njia ya mauti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nawe Yeremia utawaambia watu hawa kwamba: Yawe anasema hivi: Musikilize! Mimi ninaweka mbele yenu njia ya uzima na njia ya kifo.