Jeremiah 22:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
bali atafia hukohuko walikomchukua utumwani. Kamwe hataiona tena nchi hii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atafia huko mahali walipompeleka kuwa mateka; hataiona tena nchi hii.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali katika mahali pale walipomchukua mateka ndipo atakapokufa, wala hataiona nchi hii tena kamwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
bali atafia hukohuko walikomchukua utumwani. Kamwe hataiona tena nchi hii.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atafia huko mahali walipompeleka kuwa mateka, hataiona tena nchi hii.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atafia huko mahali walipompeleka kuwa mateka; hataiona tena nchi hii.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali katika mahali pale walipomchukua mateka ndipo atakapokufa, wala hataiona nchi hii tena kamwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
bali atafia hukohuko walikomchukua utumwani. Kamwe hataiona tena nchi hii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mahali, walipomhamishia, ndipo, atakapofia, asiione tena nchi hii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali katika mahali pale walipomchukua mateka ndipo atakapokufa, wala hataiona nchi hii tena kamwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini atakufia kulekule alipelekwa katika utumwa. Yeye hataiona tena inchi hii.