Jeremiah 22:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwapatia haki maskini na wahitaji, na mambo yake yakamwendea vema. Hii ndiyo maana ya kunijua mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliwatetea maskini na wahitaji, hivyo yeye akafanikiwa katika yote. Je, hiyo si ndiyo maana ya kunijua mimi?” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alihukumu maneno ya maskini na mhitaji; hapo ndipo alipofanikiwa. Je! Huku siko kunijua, asema Bwana?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwapatia haki maskini na wahitaji, na mambo yake yakamwendea vema. Hii ndiyo maana ya kunijua mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliwatetea maskini na wahitaji, hivyo yeye akafanikiwa katika yote, Je, hiyo si ndiyo maana ya kunijua mimi?” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliwatetea maskini na wahitaji, hivyo yeye akafanikiwa katika yote. Je, hiyo si ndiyo maana ya kunijua mimi?” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alihukumu maneno ya maskini na mhitaji; hapo ndipo alipofanikiwa. Je! Huku siko kunijua, asema BWANA?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwapatia haki maskini na wahitaji, na mambo yake yakamwendea vema. Hii ndiyo maana ya kunijua mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatengenezea wanyonge na wakiwa mashauri yao; ndipo, alipopata kukaa vema; huko siko kunijua? ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alihukumu maneno ya maskini na mhitaji; hapo ndipo alipofanikiwa. Je! Huku siko kunijua, asema BWANA?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwapatia haki wamasikini na wakosefu, na mambo yake yaliendeka vizuri. Si hivi ndivyo kunijua mimi? –Ni ujumbe wa Yawe.–