Jeremiah 22:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini macho yako wewe na moyo wako, hungangania tu mapato yasiyo halali. Unamwaga damu ya wasio na hatia, na kuwatendea watu dhuluma na ukatili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini macho yako na moyo wako vimeelekezwa tu katika mapato ya udhalimu, kumwaga damu isiyo na hatia, na katika uonevu na ukatili.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali macho yako na moyo wako hauna utakalo ila kutamani, na kumwaga damu isiyo na hatia, na kudhulumu, na kutenda jeuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini macho yako wewe na moyo wako, hung'ang'ania tu mapato yasiyo halali. Unamwaga damu ya wasio na hatia, na kuwatendea watu dhuluma na ukatili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini macho yako na moyo wako vimeelekezwa tu katika mapato ya udhalimu, kwa kumwaga damu isiyo na hatia, kwa uonevu na ukatili.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini macho yako na moyo wako vimeelekezwa tu katika mapato ya udhalimu, kwa kumwaga damu isiyo na hatia, kwa uonevu na ukatili.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali macho yako na moyo wako hauna utakalo ila kutamani, na kumwaga damu isiyo na hatia, na kudhulumu, na kutenda jeuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini macho yako wewe na moyo wako, hungangania tu mapato yasiyo halali. Unamwaga damu ya wasio na hatia, na kuwatendea watu dhuluma na ukatili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hakuna mengine, macho yako na moyo wako yanayoyatazamia, ni njia tu za kupata, nazo za kumwaga damu zao wasiokosa, nazo za kukorofisha, nazo za kupenyezewa, uyafanye mambo hayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali macho yako na moyo wako hauna utakalo ila kutamani, na kumwaga damu isiyo na hatia, na kudhulumu, na kutenda jeuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini macho yako wewe na moyo wako, vinaelekea tu mapato yasiyokuwa ya haki. Unamwanga damu ya wasiokuwa na kosa, nawe unawatesa watu na kuwatendea kwa ukali.