Jeremiah 22:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atazikwa bila heshima kama punda, ataburutwa na kutupiliwa mbali, nje ya malango ya Yerusalemu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atazikwa maziko ya punda: ataburutwa na kutupwa nje ya malango ya Yerusalemu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atazikwa maziko ya punda, akibururwa, na kutupwa nje ya malango ya Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atazikwa bila heshima kama punda, ataburutwa na kutupiliwa mbali, nje ya malango ya Yerusalemu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atazikwa maziko ya punda: ataburutwa na kutupwa nje ya malango ya Yerusalemu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atazikwa maziko ya punda: ataburutwa na kutupwa nje ya malango ya Yerusalemu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atazikwa maziko ya punda, akibururwa, na kutupwa nje ya malango ya Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atazikwa bila heshima kama punda, ataburutwa na kutupiliwa mbali, nje ya malango ya Yerusalemu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atazikwa, kama punda anavyozikwa, akikokotwa na kutupwa nje kwenye malango ya Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atazikwa maziko ya punda, akibururwa, na kutupwa nje ya malango ya Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye atazikwa sawa nyama: atakokotwa na kutupiliwa mbali, inje ya milango ya Yerusalema.