Jeremiah 22:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe mfalme wa Yuda unayekikalia kiti cha enzi cha mfalme Daudi, pamoja na watumishi wako na watu wako wanaopita katika malango haya, sikilizeni neno langu mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
‘Sikia neno la Mwenyezi Mungu, ee mfalme wa Yuda, wewe uketiye kwenye kiti cha utawala cha Daudi: wewe, wakuu wako na watu wako mnaopitia malango haya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ya kwamba, Sikia neno la Bwana, Ee mfalme wa Yuda; wewe uketiye katika kiti cha enzi cha Daudi, wewe, na watumishi wako, na watu wako wote waingiao kwa malango haya;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe mfalme wa Yuda unayekikalia kiti cha enzi cha mfalme Daudi, pamoja na watumishi wako na watu wako wanaopita katika malango haya, sikilizeni neno langu mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
‘Sikia neno la BWANA, Ee mfalme wa Yuda, wewe uketiye kwenye kiti cha enzi cha Daudi, wewe, maafisa wako na watu wako mnaokuja kwa kupitia malango haya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
‘Sikia neno la bwana, ee mfalme wa Yuda, wewe uketiye kwenye kiti cha enzi cha Daudi: wewe, maafisa wako na watu wako mnaopitia malango haya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ya kwamba, Sikia neno la BWANA, Ee mfalme wa Yuda; wewe uketiye katika kiti cha enzi cha Daudi, wewe, na watumishi wako, na watu wako wote waingiao kwa malango haya;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe mfalme wa Yuda unayekikalia kiti cha enzi cha mfalme Daudi, pamoja na watumishi wako na watu wako wanaopita katika malango haya, sikilizeni neno langu mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwamba: Sikia, mfalme wa Yuda, ukikaliaye kiti cha kifalme cha Dawidi, wewe na watumishi wako nao walio wa ukoo wako mnaoingia humu malangoni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ya kwamba, Sikia neno la BWANA, Ee mfalme wa Yuda; wewe uketiye katika kiti cha enzi cha Daudi, wewe, na watumishi wako, na watu wako wote waingiao kwa malango haya;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe mufalme wa Yuda unayetawala kwa kiti cha kifalme cha Daudi pamoja na wakubwa wa serikali yako na watu wako wanaopita katika milango hii, musikilize neno la Yawe.