Jeremiah 22:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi watu wa Yerusalemu, pandeni Lebanoni mpige kelele, pazeni sauti zenu huko Bashani; lieni kutoka milima ya Abarimu, maana wapenzi wenu wote wameangamizwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Panda Lebanoni ukapige kelele, sauti yako na isikike huko Bashani, piga kelele toka Abarimu, kwa kuwa wote waliojiunga nawe wameangamizwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya panda Lebanoni, ukalie Upalize sauti yako katika Bashani; Ukalie kutoka Abarimu; Maana wapenzi wako wote wameangamia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi watu wa Yerusalemu, pandeni Lebanoni mpige kelele, pazeni sauti zenu huko Bashani; lieni kutoka milima ya Abarimu, maana wapenzi wenu wote wameangamizwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Panda Lebanoni ukapige kelele, sauti yako na isikike huko Bashani, piga kelele toka Abarimu, kwa kuwa wale wote waliojiunga nawe wameangamizwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Panda Lebanoni ukapige kelele, sauti yako na isikike huko Bashani, piga kelele toka Abarimu, kwa kuwa wote waliojiunga nawe wameangamizwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya panda Lebanoni, ukalie Upaze sauti yako katika Bashani; Ukalie kutoka Abarimu; Maana wapenzi wako wote wameangamia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi watu wa Yerusalemu, pandeni Lebanoni mpige kelele, pazeni sauti zenu huko Bashani; lieni kutoka milima ya Abarimu, maana wapenzi wenu wote wameangamizwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Panda Libanoni, ulie! Nako Basani zipaze sauti zako! Nako toka Abarimu vilio vyako visikilike! Kwani wote waliokupenda wamepondwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya panda Lebanoni, ukalie Upalize sauti yako katika Bashani; Ukalie kutoka Abarimu; Maana wapenzi wako wote wameangamia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi watu wa Yerusalema, mupande kwa milima ya Lebanoni mupige kelele, munyanyue sauti zenu huko kwenye uwanja wa Basani; mulalamike kutoka milima ya Abarimu, maana wapenzi wenu wote wameangamizwa.