Jeremiah 22:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakutia mikononi mwa wale wanaotaka kuyamaliza maisha yako; naam, mikononi mwa wale unaowaogopa, mikononi mwa Nebukadneza, mfalme wa Babuloni; naam, mikononi mwa Wakaldayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakutia mikononi mwa wanaoutafuta uhai wako, wale unaowaogopa, yaani Nebukadneza mfalme wa Babeli na kwa Wakaldayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitakutia katika mikono ya watu wale wakutafutao roho yako, na katika mikono yao unaowaogopa, naam, katika mikono ya Nebukadreza, mfalme wa Babeli, na katika mikono ya Wakaldayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakutia mikononi mwa wale wanaotaka kuyamaliza maisha yako; naam, mikononi mwa wale unaowaogopa, mikononi mwa Nebukadneza, mfalme wa Babuloni; naam, mikononi mwa Wakaldayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakutia mikononi mwa wale wanaotafuta uhai wako, wale unaowaogopa, yaani Nebukadneza mfalme wa Babeli na kwa Wakaldayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakutia mikononi mwa wale wanaotafuta uhai wako, wale unaowaogopa, yaani Nebukadneza mfalme wa Babeli na kwa Wakaldayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitakutia katika mikono ya watu wale wakutafutao roho yako, na katika mikono yao unaowaogopa, naam, katika mikono ya Nebukadneza, mfalme wa Babeli, na katika mikono ya Wakaldayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakutia mikononi mwa wale wanaotaka kuyamaliza maisha yako; naam, mikononi mwa wale unaowaogopa, mikononi mwa Nebukadneza, mfalme wa Babuloni; naam, mikononi mwa Wakaldayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nikakutia mikononi mwao waitafutao roho yako namo mikononi mwao, unaowaogopa sana, namo mikononi mwa Nebukadinesari, mfalme wa Babeli, namo mikononi mwa Wakasidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitakutia katika mikono ya watu wale wakutafutao roho yako, na katika mikono yao unaowaogopa, naam, katika mikono ya Nebukadreza, mfalme wa Babeli, na katika mikono ya Wakaldayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakutoa katika mikono ya wale wanaovizia maisha yako, ndiyo mikono ya wale unaowaogopa, hata katika mikono ya Nabukadneza, mufalme wa Babeli na watu wake.